Tume wameshalifafanua hili mara nyingi tu.....kwamba BVR zimetumika kwenye uandikishaji pekee na taratibu nyingine za kupiga kura ni kama ilivyokuwa 2010.....Utamchagua Rais, Mbunge na Diwani kwenye kituo chako cha kuandikisha kura tu !
Utamchagua Rais, Mbunge na Diwani kwenye kituo chako ulichojiandikisha tu.....ila kama uliweza kuhamisha taarifa zako wakati, basi utaweza kufanya hivyo kwenye kituo ambacho taarifa zako zilihamishiwa.....