Hii inategemea zaidi na aina ya miti husika.
Mfano:
1. Misindano/Mipaina ni kuanzia miaka 10 ila kwenye 15 ndio inakuwa na faida nzuri.
2. Milingoti/Mikaratusi ni kwambo ni sawa na Mipaina ila kwa Mirunda ni kuanzia miaka 4 na miaka 8 kwa nguzo.
3. Mitiki ni kuanzia miaka 15 na 20 ndio utapata faida nono.
4. Mikangazi ni sawa na mitiki kwani ni jamii ya miti migumu/hardwood.