Uwe unaandika vizuri basi ,ongezea Jinsia yako, umri wako, umemaliza chuo gani, ngazi ya elimu ipi, unaujuzi wa hiyo kazi wa mda gani, umemaliza lini? FUNGUKA Usaidiwe sio unabandika tuu linamba lako hapo na kusema upo DSM basi,,, ungekuwa karibu yangu ningekupa kibao kimoja tuuu