Mbishi 4 real
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 640
- 657
Kk unachokizungumza ni sahihi waweke majina ya reserve at least tujue kua anymoment the chance happened unajitwika zigo la ajira kwakweli
Mibinafsi hata celewi maaana interview mbili mpk oral lkn cjawah ona jina langu baada ya oral ss sielewi nimefauluuu au?
Kwanza napenda kuipongeza sekretarieti ya ajira kwa kuwasaidia vijana ( watoto wa wakulima ) kupata ajira serikalini sababu bila ya nyinyi hali ingekua ngumu sana kwa sisi walalahoi kupata ajira serikalini.Nasema hivyo kwasababu taasisi nyingi za serikalini zimejaa undugu kiasi kwamba huwezi kupata kazi bila ya kuwa na mtu unaemfahamu katika taasisi unayotaka kuomba kazi.
Sekretarieti ya ajira imekua na utaratibu wa kuendesha usaili kwa kada mbalimbali na wanaofaulu hupangiwa vituo vya kazi.Kwakua nafasi zinakua finyu wale ambao wamefaulu lakini hawakupangiwa vituo vya kazi majina yao huifadhiwa kwenye kanzidata (database) kama majina ya reserves(akiba).
Kitu ambacho nadhani wanachotakiwa kufanya ni kuweka hadharani majina ya waliopangiwa vituo vya kazi na vilevile waweke wazi majina ya wale ambao wameingia kwenye database ili nao wawe na matumaini flani hata kama ikitokea sio wote watakaopata nafasi lakini angalau wajue kwamba ni wangapi wameingia kwenye database.
Kwakumalizia napenda kuwapongeza kwa kuwasaidia watoto wa wakulima ambao hawana wa kuwashika mkono katika mchakato mzima wa kupata ajira serikalini.
Asante.
Hizo ajira balaa!, nimeitwa mara nane na nmehudhuria mara moja nikafika mpaka oral nikajua nitapata kwa jinsi nilivyokuwa nime perfom vizuri. Sikuitwa na sijarudia tena kuhudhuria huko japo naendelea ku apply huko. Wenye bahati zenu endeleeni mm nipo upande wa pili huku
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jaman tunapenda kulalamika sana...wakitoa majina yaliyopo kwenye database halafu usipoitwa utaanza kulalamika....xo hatuhitaji kuyajua na lengo letu ni kupata ajira husika na sio kuingia kwenye database...kuingia kwenye database ni huruma yao tu..na inapotokea kuna shirika linataka mtu na halitaki gharama za interview ndo linachukua mtu kwenye database kama yupo..basi wafanye ukishindwa umeshindwa tu....maana tunalalamika....mbona hatulaumu na private waweke database
Kaka kwanza pole kwa unayopitia ila naomba nikutie moyo endelea kupambana usikate tamaa na naongea aya coz nina ushuuda mm mwenyewe nilifanya written pia nikafaulu nikaitwa oral lakini nafasi husika nilizofanyia pepa wala sijapata na nilijua wakat natoka kwenye interview ya oral lazima nipate nafasi yangu ila mungu si athumani sikukata tamaa kabisa juzi tu nimeona jina langu kwenye portal ya utumishi so pambana usiache kumuomba mungu kila la kheri nduguHizo ajira balaa!, nimeitwa mara nane na nmehudhuria mara moja nikafika mpaka oral nikajua nitapata kwa jinsi nilivyokuwa nime perfom vizuri. Sikuitwa na sijarudia tena kuhudhuria huko japo naendelea ku apply huko. Wenye bahati zenu endeleeni mm nipo upande wa pili huku
[emoji23][emoji23]Mtakoma
Interview ulifanya lini na jina limetoka lini kwenye tangazo la ajira?Kaka kwanza pole kwa unayopitia ila naomba nikutie moyo endelea kupambana usikate tamaa na naongea aya coz nina ushuuda mm mwenyewe nilifanya written pia nikafaulu nikaitwa oral lakini nafasi husika nilizofanyia pepa wala sijapata na nilijua wakat natoka kwenye interview ya oral lazima nipate nafasi yangu ila mungu si athumani sikukata tamaa kabisa juzi tu nimeona jina langu kwenye portal ya utumishi so pambana usiache kumuomba mungu kila la kheri ndugu