HAIWEZEKANI!, HAIWEZEKANI,HAIWEZEKANI,HAIWEZEKANI..
Foundation Course Utaomba Only Course Zilizotangazwa Kutolewa nazo na hasa zinazopatikana Open University Tu ila kwa Vyuo vingine Hawaifahamu Hiyo Course kama NTA level 6 au QFL 6...
Kwahyo kama Ulipata GPA chini ya 3 Biashara yako kuendelea Mbele Imekuwa Ngumu sana Unless Usome Tena Course nyingine Upate Zaidi ya 3 ukasome Course nyingine sio Medicine tena...
Kama atasoma Vyuo vya Nje akirudi atabanwa na Sheria za NOC za TCU ambazo zinamtaka msomi wa Abroad awe na Sifa sawa na zilizoorodheshwa na TCU Akishindewa kuwa na Sifa according to FAAS na NOC cheti chake kinakuwa Nullified