Majina yanakuwa kwa database kwa mda wa miezi sita then yanaondolewa kama hakuna kazi ya namna uliyoomba ikatangazwa kwa agency ileile.
mf TRA wakitangaza kazi zao na ukafanikiwa kupiga usaili hadi oral lakini usibahatike kuitwa kazini na ulikidhi pass mark walioitaka kwenye oral ndo jina linawekwa kwenye database, sasa ikitokea TRA kwa mara nyingine tena ndani ya miezi sita wakatangaza kazi ya kada ileile ndo unapata nafasi ya kujumishwa pamoja na wale walioitwa kazini