Kuna mtu anahitaji kufahamu yafuatayo kuhusu ESAMI
Je chuo kinamilikiwa na Serikali ya Tanzania kwa sasa kama mmiliki pekee?
Vp kuhusu mishahara ya staff ni Sawa kama vyuo vingine, mfano UDSM
Wana branch nyingine mikoani zaidi ya makao makuu Arusha?
Aksanteni
1.. East & Southern African Management Institute (sio mali ya Tz pekee)
2... HAKUNA TAWI LINGINE LOLOTE TZ
3... SALARY SCALE NADHANI NI KWA LEVEL ZA KIMATAIFA.
4... ADA YAKE SIO KITOTO.... LAZIMA UWE COMFORTABLE.
[
https://www]
The Eastern and Southern African Management Institute (ESAMI) is an intergovernmental regional management development centre. ESAMI's head office is located in Arusha, Tanzania.
The institute was established with the primary objective of providing the region with trained personnel in a number of critical areas including policy management, transportation management, financial management, information technology management, health management, human resources management, project management, energy and environment management and gender management among others.
The focus was to train middle to senior managers from the region to improve their managerial performance taking into consideration the global issues but with a regional focus relevant to the African environment.