Jitarhid Harmajid Member Joined Jul 29, 2014 Posts 10 Reaction score 6 Oct 22, 2016 #1 Wakuu , kuna uvumi mitaani kuwa kuna baadhi ya wanachuo wa vyuo vikuu watapunguziwa mkopo, ni kweli au ikoje kwa aliye na ukweli!
Wakuu , kuna uvumi mitaani kuwa kuna baadhi ya wanachuo wa vyuo vikuu watapunguziwa mkopo, ni kweli au ikoje kwa aliye na ukweli!
Hb wa Ilala JF-Expert Member Joined Sep 23, 2015 Posts 1,190 Reaction score 1,217 Oct 22, 2016 #2 ..hizi thread kuhusu mikopo zishakuwa nyingi sana,etii mkuu kma una Access na mtandao si uingie kwenye exact links uangalie kuliko kuanzisha thread ambapo hutapata authentic answers?????!ebu Fanya hivo alaf omba na MODS wafute hii thread kabisa
..hizi thread kuhusu mikopo zishakuwa nyingi sana,etii mkuu kma una Access na mtandao si uingie kwenye exact links uangalie kuliko kuanzisha thread ambapo hutapata authentic answers?????!ebu Fanya hivo alaf omba na MODS wafute hii thread kabisa