Hellow wadau wa jf naomba kuuliza vp arusha university masters ya pale inatambulika? na waajir wanaichukulia aje? maana na mpango wa ku apply masters pale.ushaur wenu please
Ni kweli inatambulika ila kwenye soko la ajira kama ujuavyo uwezo binafsi una sehemu yake pamoja na ukumbwa wa chuo ulichosoma ukiwa mweupe huna chako. omba naona wanazidi kuongoza Phd holders kwenye staff wao
Jaman hongera kma unakuja kusoma masters sisi hta ha2jui kma 2taendelea for second year coz ada yenyewe imepanda jaman mmh 2talia na nan na wazaz wetu n wakulima hawajavuna bdo mmh all da best 4 ur masters

jaman hongera kma unakuja kusoma masters sisi hta ha2jui kma 2taendelea for second year coz ada yenyewe imepanda jaman mmh 2talia na nan na wazaz wetu n wakulima hawajavuna bdo mmh all da best 4 ur masters