Kuhiji makkah

Mzito Kabwela

Platinum Member
Joined
Nov 28, 2009
Posts
18,904
Reaction score
7,746
Wakuu, Waislam wamesheherekea sikukuu ya IDD juzi na wengine jana.

Sasa nauliza, kwakuwa mji wa Mecca ulikutanisha binadamu zaidi ya Milioni Mbili kutoka mataifa mbali mbali, je ni faida zipi za kiuchumi watazipata wananchi wa Saudi Arabia kutokana na mamilioni ya wahujaji kwenda huko?

Kuna mawakala wa kuwasafirisha watu kutoka Tanzania kwenda Mecca. Nao wanafaidikaje kiuchumi?

Je, ukienda kuhiji, unaruhusiwa kuingia mtaani kufanya japo shopping ya kanzu?


Maswali mengine yanakuja....
 
mtu mzima huoni aibu kusema"nasikia" ktk ulimwengu ambao kila kitu kimeshaandikwa! Tembelea hata google usome, ili usiburuzwe buruzwe
 
Nasikia kuna jiwe jeusi na baathi ya mabaki vitu vya zamani kabla ya uslamu kuwepo kwani hiyo alkaba ilikuwa inatumika na wapagani walikuwa walikuwa nipahala pa kutunzia miungu yao wapagani hao kabla ya uislam
 
 
Darasa la saba utawajuwa tu,hili ni janga la taifa,bora mkasome per form one course,kuliko kupoteza mda wenu.

Sasa wewe uliyesoma nini maana ya per form one? Acha ujuaji wakati hujui. Mjibu aliyeuliza kwa adabu.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Vijana wa tanzania tujenge utaratibu wa kusoma na kuacha ujuaji..kila mtu anajibu naskia naskia ..ni aibu

Sasa wewe mhamiaji si utoe elimu tu? Unajua kweli matumizi ya kiswahili? Mtu akiandika "nasikia" unatakiwa umwambie iliyo kweli ili nae apate ilm murua! Kama hujui kaa kimya, kama unajua elezea we mwenye utamaduni wa kujisomea. Nini maana ya majukwaa haya kuwekwa kama c kupashana habari kwa usahihi?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 

Hakuna faida yoyote kwakua kila kitu wanapewa bure kuanzia usafiri,chakula,wakiingia madukani wanabeba zawadi waitakayo bila gharama,

Mimi huwa nasikia kuwa wakiwa kule huwa wanampiga shetani kwa mawe na lenyewe likiwageukia linawafukuza mpaka wanakanyagana wao kwa wao je hayo ni ya kweli???????

ndani ya alkaaba kumejazwa vitu gani


 
Last edited by a moderator:
Kama mtu hajui aisijitie anajua..
 
Dhahiri mmeonyesha division 5 zenu haya endeleeni kusikia na muendelee kwenda kumhiji tb joshua.
 
Haya matokeo ya watoto wa darasa la saba mpaka yakitoka,tutakuwa tumesoma ujinga mwingi.Bora muende kusoma pre form one course.

Wewe kama unajua jibu swali si kurukia darasa la saba,kama wewe umesoma sana jibu swali,Naisitoshe haya ni mambo ya Imani kisomo hakihitajiki hapo maana waweza soma madarasa yote lakini usijue Mambo ya Imani za wengine
 
Jibu sasa Wewe unayefahamu! Kwani hujamsikia hata Rais wako huwa anasema nasikia? Au nimeambiwa? Nasikia kuna mahujaji 130 wamefariki kutokana na mkanyagano wakati wakilikimbia li-shetani?!!

Acha upumbavu ww km hujui nenda Google sifa zako za kijinga peleka kanisan kwenu ukalawitiwe vzr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…