Njia nzuri ni kuchukua vijana kutoka mikoani na kuwapangia chumba..wasikae kwako then kila baada ya muda kunakuwa na semina elekezi juu ya biashara husika..weka mshahara basic na promotion ni vilemtu atafanya mauzo kwa kiasi gani..nililenga kumsaidia mlalamikaji. Na ningemconnect nabaadhi ya watu naowafaham wanaoitumia mbinu hii kama wale whiterose food chain. Ila akienda yeye pekeake hawezi kuskilizwa. Mimi ni moja ya zao la hapo..sema kuna chawa wengi wanaharibu uzi.