Hili ni jibu sahihi kabisa. Kama haamini atasumbuka sana.Kwa mfumo wa malipo ya serikali kwa sasa, fanya kama umetoa sadaka hiyo fedha, maana mlolongo wa kuipata unaweza kutumia mara 10 ya hiyo uliyotuma
Kuna tofauti ya kumpotosha mtu na kumwambia ukweli. Fedha ikashatoka kwenye muamala wa MPesa kwenda kwa ajili ya malipo akaunti ya benki mlolongo wale wa kuipata ni headache, transaction ya kuirudisha kwenye account yako ni ngumu mno. Si rahisi kihivyo unavyosema. Kuna jamaa yangu alilipa hivyo hivyo kutoka Mpesa kwemda NMB laki saba, ilikuwa Julai 2019, leo ni Machi 6, 2020 bado anahangaikia kuipata hiyo fedha. Usimpotoshe, Mpesa wenyewe wanakuambia hawama access ya kuirudisha muamala uliofanya malipo kwenye account ya benki. That's it.Usipotoshwe na majibu ya juu juu unayopewa humu na baadhi ya watu, pesa yako uliyotuma kamwe hatopotea!. Nenda Vodacom ukasitishe huo muamala au wakaitume hiyo pesa kwenye akaunti uliyopewa ya CRDB. Usiende kubembeleza, hiyo ni pesa yako halali na Voda wana jukumu la kuifikisha pale unapotaka kuituma.
Tatizo sio teknolojia, tatizo ni business process inayotumia hiyo teknolojia, je kuna sera yoyote ya refund. Teknolojia hufanya kazi vyema kama mifumo ndani inafanya kazi vyemaI feel sorry for you brother.
Hizi teknolojia nzuri zinapoenda vizuri. Ila zikienda against unaweza hisi dunia inakuangukia.
Niliwahi toa 1M toka NBC kwenda tigopesa mwaka 2014. Hela haikufika tigopesa ila kwenye kwenye account iliondoka.
Ilinichukua mwaka na nusu ile hela kuirudisha. Tena baada ya kumfahamu mtu ndani ya benki kunisaidia.
Hapo ndo nilijua hizi teknolojia sio reliable 100%.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ulilosema nishakutana nalo miye.Hili ni jibu sahihi kabisa. Kama haamini atasumbuka sana.
wengine naomba msimptoshe mhusika
Mkuu nadhani umeenda nje ya mada.Sio mchezo.mm ilinitokea ya kutoa bank kwenda m pesa nikakosea namba.kupiga voda wakasema niende bank nilivyoenda bank nikajaza form baada ya wiki ilirud pesa.
Sent using Jamii Forums mobile app