yaani uache u lecture ufundishe shule za kata kisa mwalimu wa sayansi...
afisa elimu anaona wivu. utamzidi maisha hata yeye
thanks indeedUnayo haki
Aache nini?!... u lecture...utamzidi maisha hata yeye
yy inabd aiptishe barua yangu ila hataki,mkurugnz yy hana tatzo kasema ila shda n huyu afsa elmu. Ila afsa utumsh hpa kanishaur nianzie juu processHAAAAAAAAAAAAAAAA! kwani afisa elimu ndo mwajiri wako? au unapitisha kwake? m face mwajiri moja kwa moja,,,,,,,nenda chuo ! kama science mwambie na yeye akasomee
yy inabd aiptishe barua yangu ila hataki,mkurugnz yy hana tatzo kasema ila shda n huyu afsa elmu. Ila afsa utumsh hpa kanishaur nianzie juu process
ckuiptsha coz niliomba ajra hii ya chuoni kabla ya kuajriwa hko halmashaurAisee hapo ni ishu.....kwanza huy DEO kupitisha barua ni lazima hata kama anapitisha kwa kukukatalia.....
Lakini tatizo litakuja kama wakati unaomba ajira hyo ya chuo barua yako hukupitisha kwa huyo DEO....
Kusema kuwa uende kwa RAS au CWT wao watambana apitishe lkn hawawezi mbana apitishe positively...na mara nyingi comments zao upew uzito na utumishi.....
Mimi nakushauri ukae uchonge naye kiutu uzima....