Makusudically
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 2,215
- 1,240
Lakini ni kwa wale wanaowaogopa binadamu wenzao. Pengine mwengine utakuta ni mwanaume kabisa lkn humuogopa mwanaume mwenzake kiasi cha kushindwa kusimamia anachokiamini.Watu wengi sana wamegundua kuwa kuhamia au hata kujaribu kujiunga na Chadema ni vigumu sana, kwani ni sawa na mtu kujaribu kubadili "group" la damu, mfano; group A kwenda B, au AB kwenda O, ni vigumu kweli kweli kubadiri makundi ya damu. Hivyo kujiunga na Chadema ni sawa na kujaribu kubadili kundi la damu.
Jawabu mujarabu.Ni swala la muda au wakati! Chadema ni chama ambacho kinakua katika ardhi iliyojaa mianzi mingi ambayo haitaki mimea mingine iote eneo hilo..Kwa hiyo si kazi rahisi lkn itastawi kwa wakati wake.
Mbona mie nimeweza kubadili hilo group la damu. Nimejiunga CHADEMA rasmi nikitokea CCMWatu wengi sana wamegundua kuwa kuhamia au hata kujaribu kujiunga na Chadema ni vigumu sana, kwani ni sawa na mtu kujaribu kubadili "group" la damu, mfano; group A kwenda B, au AB kwenda O, ni vigumu kweli kweli kubadiri makundi ya damu. Hivyo kujiunga na Chadema ni sawa na kujaribu kubadili kundi la damu.
Hakuna hoja hapa.Watu wengi sana wamegundua kuwa kuhamia au hata kujaribu kujiunga na Chadema ni vigumu sana, kwani ni sawa na mtu kujaribu kubadili "group" la damu, mfano; group A kwenda B, au AB kwenda O, ni vigumu kweli kweli kubadiri makundi ya damu. Hivyo kujiunga na Chadema ni sawa na kujaribu kubadili kundi la damu.
Huwezi kuiona hoja kwasababu uwezo wa kuiona hoja huna.Hakuna hoja hapa.
Bora mimi, sio wewe unayepotosha.Huwezi kuiona hoja kwasababu uwezo wa kuiona hoja huna.
Ulifanya utafiti? Lini, wapi, wangapi? Waonaje ukitupatia nakala yake ili tuthibitishe uhalali wa madai yako?Watu wengi sana wamegundua kuwa kuhamia au hata kujaribu kujiunga na Chadema ni vigumu sana, kwani ni sawa na mtu kujaribu kubadili "group" la damu, mfano; group A kwenda B, au AB kwenda O, ni vigumu kweli kweli kubadiri makundi ya damu. Hivyo kujiunga na Chadema ni sawa na kujaribu kubadili kundi la damu.
Kwa wenye mawazo - kama wewe maana unaongozwa na tumboWatu wengi sana wamegundua kuwa kuhamia au hata kujaribu kujiunga na Chadema ni vigumu sana, kwani ni sawa na mtu kujaribu kubadili "group" la damu, mfano; group A kwenda B, au AB kwenda O, ni vigumu kweli kweli kubadiri makundi ya damu. Hivyo kujiunga na Chadema ni sawa na kujaribu kubadili kundi la damu.
Kuna Methodologies ngapi ktk research ?Ulifanya utafiti? Lini, wapi, wangapi? Waonaje ukitupatia nakala yake ili tuthibitishe uhalali wa madai yako?
Hivi unajua kwanini mikutano ya siasa na Bunge live vimepigwa marufuku?Watu wengi sana wamegundua kuwa kuhamia au hata kujaribu kujiunga na Chadema ni vigumu sana, kwani ni sawa na mtu kujaribu kubadili "group" la damu, mfano; group A kwenda B, au AB kwenda O, ni vigumu kweli kweli kubadiri makundi ya damu. Hivyo kujiunga na Chadema ni sawa na kujaribu kubadili kundi la damu.
Kilichanua kikajipulizia dawa ya kuua magugu chenyewe..sasa kimeanza kunyaukaNi swala la muda au wakati! Chadema ni chama ambacho kinakua katika ardhi iliyojaa mianzi mingi ambayo haitaki mimea mingine iote eneo hilo..Kwa hiyo si kazi rahisi lkn itastawi kwa wakati wake.
Soon utaanza kuwa dhaifuMbona mie nimeweza kubadili hilo group la damu. Nimejiunga CHADEMA rasmi nikitokea CCM
Hizo ndizo stages za kukua!Kilichanua kikajipulizia dawa ya kuua magugu chenyewe..sasa kimeanza kunyauka
Maskini ni akina nani wakati una MB zakuchati ovyo ovyo jf ?Kwa kuwa hawatoi hela ila ccm ni rahisi kwani wanatoa kodi za masikini Wa kutupwa
Nikweli mkuu kama hujiamini huwezi kuhamia cdm maana hawana uwezo wakukuteuwa au kukupa cheo vilevile kama unamakandokando huwezi hamia maana uhamiaji na tra watakuja kukukaguwa mpaka uchanganyikiwe ndio maana unasema kuhamia cdm nisawa na kubadirisha damu naungana na ww mkuuWatu wengi sana wamegundua kuwa kuhamia au hata kujaribu kujiunga na Chadema ni vigumu sana, kwani ni sawa na mtu kujaribu kubadili "group" la damu, mfano; group A kwenda B, au AB kwenda O, ni vigumu kweli kweli kubadiri makundi ya damu. Hivyo kujiunga na Chadema ni sawa na kujaribu kubadili kundi la damu.