inawezekana xaana ila jiandae na usumbuf ufuatao
1.usumbuf toka bod ya mikopo,manaake taarfa zako inatakiw ztumwe bodi ya mikopo,hvyo huchelew xana kujibiwa
2.Kuanza masomo katka koz unayohamia ktkt ya semister kama majb ya kubadl yatachelew
3.ktambulsh chak ktabak kmeandkw coz ulyochaguliwa awal!
na mengne madogo madogo..mwny uelewa waongeze