Habari wanajf.
Nilikuwa nauliza madhara ya kuhama kozi katika chuo hicho ulichopangiwa na Mikopo inakuaje kama umepata alafu unahamia kozi nyingine je kunakuaga na shida gani
Labda kama n chuo hicho hicho maana usije ukajikuta umekosa mkopo bure ...mikopo ynyw ya mwaka huu haieleweki ukipata unashukuru labda kama unahama ndani ya chuo hcho hcho
Kama hiyo Koz ni mwendelezo wa afya, au biashara au uwalimu hakuna shida mana tcu wamesema tarehe 30/11/16 watapeleka majina heslb, kwanza mwaka huu mkopo ni kusota
Kama hiyo Koz ni mwendelezo wa afya, au biashara au uwalimu hakuna shida mana tcu wamesema tarehe 30/11/16 watapeleka majina heslb, kwanza mwaka huu mkopo ni kusota