Mkuu hapa utachanganywa tu na majibu ya watu.Mimi nimesomea pale ila ninachojua kuhamia kozi yoyote ya COED ni rahisi tena hii ni ndani kwa ndani wala haitokusumbua.Kilichopo uwahi kuripoti chuo na kauone uongozi husika watakupa maelekezo ingawa nasikia tangu 2013 watu wa BAED ingawa ni walimu wao wanakaa college of humanities ingawa sina uhakika na hilo maana mimi nimehitimu 2012.
Ingawa mimi tofauti ya baed na bed arts naona ni ndogo sana na naona lbda ni idadi tu ya teaching subjects..