AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,426
- 1,402
Je vyeti vya upande wa education qualification na upande verification certificate kote tunaweka tulivyoviverify au ikoje?Kama ameweka mara mbili hy haina shida, aendelee kufanya mambo mngn
Hapo kwenye verification Achana napoJe vyeti vya upande wa education qualification na upande verification certificate kote tunaweka tulivyoviverify au ikoje?
Haina shidaHabari wajuzi,
Naomba msaada, mdogo wangu kapata shida ajira portal, ameattach qualification mara mbili kimakosa na anahitaji futa moja... naomba msaada kwa anaejua namna ya kufuta.
Kama unajua namna ya kudeactivate account ajira portal nisaidie plz,.. Nataka nifungue account nyingine,.. Ukifungua account mbili inazingua kwenye nida namba kwasababu huwezi tumia same number in two different accounts.Kama ameweka mara mbili hy haina shida, aendelee kufanya mambo mngn
Hakuna option ya ku deactivate account. Kama Vyeti n vyako kwann unataka kuvifuta? Subir utapata kazi kulingana na elimu yako.Kama unajua namna ya kudeactivate account ajira portal nisaidie plz,.. Nataka nifungue account nyingine,.. Ukifungua account mbili inazingua kwenye nida namba kwasababu huwezi tumia same number in two different accounts.
Hii account ninayotumia nikituma maombi ya kazi inasema nirudi kwenye profile niweke NIN yangu,... Nikiweka inasema huwezi tumia NIN zaidi ya mara moja😕Hakuna option ya ku deactivate account. Kama Vyeti n vyako kwann unataka kuvifuta? Subir utapata kazi kulingana na elimu yako.
Wapigie simuHii account ninayotumia nikituma maombi ya kazi inasema nirudi kwenye profile niweke NIN yangu,... Nikiweka inasema huwezi tumia NIN zaidi ya mara moja😕