gentlemanx JF-Expert Member Joined Jun 21, 2015 Posts 2,375 Reaction score 7,217 Oct 4, 2015 #1 Wana JF habari zenu? Mimi ni mhitimu wa chuo, kazi imekuwa shida sana kupata. Nataka nifungue kampuni ya usafi na kusupply, najua kwa kiasi chake. Msaada wowote kutoka kwenu ntashukuru!
Wana JF habari zenu? Mimi ni mhitimu wa chuo, kazi imekuwa shida sana kupata. Nataka nifungue kampuni ya usafi na kusupply, najua kwa kiasi chake. Msaada wowote kutoka kwenu ntashukuru!
MBOPOLI Senior Member Joined Aug 12, 2015 Posts 160 Reaction score 27 Oct 5, 2015 #2 nitafute tushirikiane mimi nitahusika na wafanyakazi
Malaika wa Kifo JF-Expert Member Joined Apr 11, 2012 Posts 4,089 Reaction score 4,723 Oct 5, 2015 #3 MBOPOLI said: nitafute tushirikiane mimi nitahusika na wafanyakazi Click to expand... mimi nipo tayari kwa kazi. Mni PM
MBOPOLI said: nitafute tushirikiane mimi nitahusika na wafanyakazi Click to expand... mimi nipo tayari kwa kazi. Mni PM
Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,652 Reaction score 5,624 Oct 5, 2015 #4 gentlemanx said: Wana JF habari zenu? Mimi ni mhitimu wa chuo, kazi imekuwa shida sana kupata. Nataka nifungue kampuni ya usafi na kusupply, najua kwa kiasi chake. Msaada wowote kutoka kwenu ntashukuru! Click to expand... Iyo idea yako ni nzuri sana,sema zina fitina sana izo kazi za kuomba tenda kwenye maofisi,
gentlemanx said: Wana JF habari zenu? Mimi ni mhitimu wa chuo, kazi imekuwa shida sana kupata. Nataka nifungue kampuni ya usafi na kusupply, najua kwa kiasi chake. Msaada wowote kutoka kwenu ntashukuru! Click to expand... Iyo idea yako ni nzuri sana,sema zina fitina sana izo kazi za kuomba tenda kwenye maofisi,
B bennyb Member Joined May 8, 2014 Posts 31 Reaction score 4 Oct 5, 2015 #5 Hata mm nipo tayar nichek 0712202449
A aiai654 JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 3,857 Reaction score 1,264 Oct 5, 2015 #6 Hiyo kazi inahitaji energy ya kutosha na pia uwe fit kiafya. Msaada zaidi zama google kabla hujachukua hatua zaidi
Hiyo kazi inahitaji energy ya kutosha na pia uwe fit kiafya. Msaada zaidi zama google kabla hujachukua hatua zaidi
gentlemanx JF-Expert Member Joined Jun 21, 2015 Posts 2,375 Reaction score 7,217 Oct 6, 2015 Thread starter #7 Nilifanya kazi kwenye kampuni inayohusika na mambo hayo,so uzoefu ninao wa kutosha,ni kweli mwanzo always ni mgumu,but hakuna kukubali kushindwa,
Nilifanya kazi kwenye kampuni inayohusika na mambo hayo,so uzoefu ninao wa kutosha,ni kweli mwanzo always ni mgumu,but hakuna kukubali kushindwa,
umuhiri marato Member Joined May 8, 2014 Posts 68 Reaction score 5 Oct 6, 2015 #8 Wazo zuri, kila la kheri kija na