NostradamusEstrademe JF-Expert Member Joined Jul 1, 2017 Posts 3,869 Reaction score 5,170 Aug 29, 2019 #1 Mtoto wangu hajaenda choo wiki inakaribia kuisha nachanganyikiwa naomba ushauri
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,856 Reaction score 61,916 Aug 29, 2019 #2 mpe vitu vya kuharisha (mf: maziwa, mtindi) , yaani ashindie maziwa asubui mchana jioni wallahi choo kitafunguka
mpe vitu vya kuharisha (mf: maziwa, mtindi) , yaani ashindie maziwa asubui mchana jioni wallahi choo kitafunguka
sinajinasasa JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 2,989 Reaction score 4,171 Aug 29, 2019 #3 Fafanua in details, mtoto wa aina gani, maana watoto wapo wa aina nyingi MzeeMeko said: Mtoto wangu hajaenda choo wiki inakaribia kuisha nachanganyikiwa naomba ushauri Click to expand...
Fafanua in details, mtoto wa aina gani, maana watoto wapo wa aina nyingi MzeeMeko said: Mtoto wangu hajaenda choo wiki inakaribia kuisha nachanganyikiwa naomba ushauri Click to expand...
Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,740 Reaction score 76,383 Aug 29, 2019 #4 Tafuta mapapai umpe yatamsaidia.
leroy JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 1,640 Reaction score 2,235 Aug 29, 2019 #5 Chukua glasi ya maji changanya na sabuni ya mche ili upate povu kwa mbali (maji yabadilike rangi kidogo)....Mnyweshe.
Chukua glasi ya maji changanya na sabuni ya mche ili upate povu kwa mbali (maji yabadilike rangi kidogo)....Mnyweshe.
Jumong S JF-Expert Member Joined Jul 3, 2013 Posts 7,450 Reaction score 10,807 Aug 29, 2019 #6 Mtoto ana umri gani? Amewahi kutumia dawa yoyote? Jibu nikuandikie dawa!
NostradamusEstrademe JF-Expert Member Joined Jul 1, 2017 Posts 3,869 Reaction score 5,170 Aug 29, 2019 Thread starter #7 Jumong S said: Mtoto ana umri gani? Amewahi kutumia dawa yoyote? Jibu nikuandikie dawa! Click to expand... Ana miaka 3 wa kiume.Ni mnene kupitiliza.Alikuwa anatumia antibiotic ya kufua na mseto wa malaria
Jumong S said: Mtoto ana umri gani? Amewahi kutumia dawa yoyote? Jibu nikuandikie dawa! Click to expand... Ana miaka 3 wa kiume.Ni mnene kupitiliza.Alikuwa anatumia antibiotic ya kufua na mseto wa malaria
Jumong S JF-Expert Member Joined Jul 3, 2013 Posts 7,450 Reaction score 10,807 Aug 30, 2019 #8 MzeeMeko said: Ana miaka 3 wa kiume.Ni mnene kupitiliza.Alikuwa anatumia antibiotic ya kufua na mseto wa malaria Click to expand... Mpatie gripe water mara mbili Kwa siku Kwa muda wa siku 5
MzeeMeko said: Ana miaka 3 wa kiume.Ni mnene kupitiliza.Alikuwa anatumia antibiotic ya kufua na mseto wa malaria Click to expand... Mpatie gripe water mara mbili Kwa siku Kwa muda wa siku 5
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,962 Reaction score 35,215 Aug 30, 2019 #9 Sky Eclat Watu8
Karucee JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 18,196 Reaction score 34,502 Aug 30, 2019 #10 MzeeMeko said: Ana miaka 3 wa kiume.Ni mnene kupitiliza.Alikuwa anatumia antibiotic ya kufua na mseto wa malaria Click to expand... Why mnaruhusu mtoto awe overweight ? Badilisha menu yake and encourage him to be more active physically.
MzeeMeko said: Ana miaka 3 wa kiume.Ni mnene kupitiliza.Alikuwa anatumia antibiotic ya kufua na mseto wa malaria Click to expand... Why mnaruhusu mtoto awe overweight ? Badilisha menu yake and encourage him to be more active physically.