Kufuga Nguruwe

Mkuu uweke uzi vizuri, then wachangiaji waelewe vizuri pindi wanapochsngia.
 
Ok mkuu nmekusoma n ivi naitajika kufanya nn ili kuanzsha mradi wa kufuga nguruwe kibishara @ naxon
 
Cha mhimu uwe na eneo kubwa make hawa viumbe wanatema sana ili wakae mbali na nyumba au uwe na shamba maalumu. Pia ulinzi una hitajika sn kuzuia wezi.

Jamaa nguruwe wanasoko sn ndg kuliko kuku wa kisasa. Bei juu. Afu walaji 45m.
 
Nimeipenda hyo kka thnx eneo ninalo aina shida kujusu hlo kupata soko la uhakika hapo iko bp yan lication ambako hakuna shda ya soko
 
Hello..... Karibuni Sana Katika group linalohusu ufugaji wa nguruwe

Karibu Sana wewe mtaalamu wa mifugo, mfugaji, mnunuzi, pamoja na Wale wenye kiu ya kujifunza zaidi kuhusu ufugaji huu wenye tija na kipato cha uhakika.....

Click link ifuatayo kujiunga......

Zingatia kujitambulisha pindi tu uingiapo katika group hili
ZINGATIA KUJITAMBULISHA PINDI TU UINGIAPO KATIKA GROUP HILI... JINA, MKOA, SHUGHULI

TSA- PIG FARMING
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…