Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,419
- 100,666
we huna akili?! ina mana nini bora kati ya kwenda hospitali kutibiwa au uache ufe uzikwe nijibu kabla sijaendelea kukuchukuli hatua za kiakilii!?!
Scania ya miaka 10 ni bora kuliko Tata mpya! Vinginevyo watu wengi wangenunua Tata mpya kuliko used Trucks za Scania au Benz ambazo zinazidi bei ya Tata mpya.Kumaintain gari chakavu ni gharama sana, huo ni uharibifu wa Pesa tu, hizo gharama za kufufua hayo magari angeweza kupata Eicher au TaTa mpya kabisa
Hahahaaa endelea tu kwa kweli, ni kweli huenda sina akili kweliwe huna akili?! ina mana nini bora kati ya kwenda hospitali kutibiwa au uache ufe uzikwe nijibu kabla sijaendelea kukuchukuli hatua za kiakilii!?!
Hapana, sijataja mtu, sijachukia mtu, usiklazimishe mambo ambayo hayapoYaani kwasababu anaefanya huu ukarabati anachukiwa watu wanatumia nguvu nyingi saaana kuonesha anachokifanya kina matokeo hasi.
Hata mimi sijataja mtu, usijishtukie.Hapana, sijataja mtu, sijachukia mtu, usiklazimishe mambo ambayo hayapo
Wapi nimetaja mtu? Wapi? Tuache hisia za kitoto, tujibu hoja kwa hoja. Nimezungumzia ukarabati wa magari Vs ununuzi wa magari mapya, wapi nimetaja kuwa namchukia mtu??Yaani kwasababu anaefanya huu ukarabati anachukiwa watu wanatumia nguvu nyingi saaana kuonesha anachokifanya kina matokeo hasi.
Scania ya miaka 10 ni bora kuliko Tata mpya! Vinginevyo watu wengi wangenunua Tata mpya kuliko used Trucks za Scania au Benz ambazo zinazidi bei ya Tata mpya.
Mkuu huu sio mzizi wa thread hii, nazungumzia mjadala tofauti na huukukarabati gari ni sawa kabisa lakini sio iwe kazi ya RC tena kuhamasisha au kusimamia, jeshi la polisi lenyewe lilitakiwa likarabati magari yake manake tunajua kuna karakana za polisi kila mkoa na mapolisi ni mafundi wazuri sana wa magari sasa iweje iwe kazi ya mkubwa tena kuingia apo na kushuulikia hilo wakati ana majukumu ya kuleta maendeleo mkoani kwake
Hahahahahaha haya bhanaHata mimi sijataja mtu, usijishtukie.
Sikiliza ndugu, magari mengi ya seriakli yanayoachwa yaoze sio mabovu kivile. Watu wengi walikuwa wanayaacha ili wayanunue kwa mnada. Kama uko serikalini au unajua mtu yuko huko utanielewa.Kaka umesikia marekebisho yanayofanywa?, nadhani umeshundwa kutoafautisha kati ya kununua used vehicle na kufufua yaliyokufa, tena yamekufa baada ya kuendeshwa na madereva Watanzania, ndani ya Barabara za Tanzania
Hapo ni Bora wangenunua Eicher au Tata Mpya, tena zinatolewa kwa mkopo
Kama wameshindwa kufanya hivyo mwingine asifanye?kukarabati gari ni sawa kabisa lakini sio iwe kazi ya RC tena kuhamasisha au kusimamia, jeshi la polisi lenyewe lilitakiwa likarabati magari yake manake tunajua kuna karakana za polisi kila mkoa na mapolisi ni mafundi wazuri sana wa magari sasa iweje iwe kazi ya mkubwa tena kuingia apo na kushuulikia hilo wakati ana majukumu ya kuleta maendeleo mkoani kwake