Ni simple,unaenda mpaka posta round about mtafute fundi Mwesiga atakutoza kuanzia 5elf mpaka lak2 kutegemeana na simu,ila kama unahamu ya kujitegenezea,tafuta kama milioni ivi,uagize box uchina kama lak4 mpaka7,nunua cable,alafu down mafile kisha unlock kwa kununua credit vocha online kutoka kwa manufacturer/ suppliers.