Upon kwenye system, the angalia guide book yako iko vp kwa mwaka ulio apply je inafanana na vigezo walivoviainisha? Then utapata jibu.Niliaply mwaka jana kwa vigezo vya Tcu 2 point cut off kwa maana ya E E nikaahirisha mwaka wa masomo chuo na kupewa barua ya kukubaliwa kuahirisha mwaka na kutakiwa kutoa taarifa ya kwendelea na masomo ktk mwaka wa masomo 2016/17 je kwa uu utaratibu wa principal mpya wa DD au point 4.0 je chuo kitaniruhusu kwendelea na masomo mwaka uu
akili fupi....yeye si ameshadahiliwa tayari mwaka jana so amepostpone to masomo na sio kama aliacha kabisa na anatakiwa ku apply upyaHapana mkuu hapo umepoteza bahati,ni bora hata uende diploma maana siumeona mfumo umegeuka vinginevyo wataalaum sana form six 2016 maana wapo wenye DEE wamegomewa...sorry lakini
muelekeze tu msifike mbali jamani pengine hajui maana yakupostpone sasa inabidi uende nae slow but sureakili fupi....yeye si ameshadahiliwa tayari mwaka jana so amepostpone to masomo na sio kama aliacha kabisa na anatakiwa ku apply upya
wewe huna shida ndugu upo kwenye system na utaendelea na masomo kama kawaida ila uende na barua waliyokupaNiliaply mwaka jana kwa vigezo vya Tcu 2 point cut off kwa maana ya E E nikaahirisha mwaka wa masomo chuo na kupewa barua ya kukubaliwa kuahirisha mwaka na kutakiwa kutoa taarifa ya kwendelea na masomo ktk mwaka wa masomo 2016/17 je kwa uu utaratibu wa principal mpya wa DD au point 4.0 je chuo kitaniruhusu kwendelea na masomo mwaka uu
You genius, kuna watu wanapotosha watu. Hasa ambao wako form four and they know nothing about university.. Umemuelewesha vizuri kabisa.Wakati una apply na ulidahiliwa kwa vigezo ambavyo ulikuwa navyo kwa wkt ule, wewe ni sawa sawa na wenzako ambao hawakuhairisha mwaka wa masomo, which means wameshamaliza first year na wanajiandaa kuingia second year. So ondoa Shaka, wewe ni registered student ktk chuo chako, hauombi kudahiliwa upya huu mwaka, so uko safe kbs. Vigezo vinawahusu applicants wanaoomba mwaka huu.
All the best ndugu
AxanteWakati una apply na ulidahiliwa kwa vigezo ambavyo ulikuwa navyo kwa wkt ule, wewe ni sawa sawa na wenzako ambao hawakuhairisha mwaka wa masomo, which means wameshamaliza first year na wanajiandaa kuingia second year. So ondoa Shaka, wewe ni registered student ktk chuo chako, hauombi kudahiliwa upya huu mwaka, so uko safe kbs. Vigezo vinawahusu applicants wanaoomba mwaka huu.
All the best ndugu
Wewe utaendelea hii sheria mpya haikuhusu. Ingekuwa umeaacha chuo sawa.Niliaply mwaka jana kwa vigezo vya Tcu 2 point cut off kwa maana ya E E nikaahirisha mwaka wa masomo chuo na kupewa barua ya kukubaliwa kuahirisha mwaka na kutakiwa kutoa taarifa ya kwendelea na masomo ktk mwaka wa masomo 2016/17 je kwa uu utaratibu wa principal mpya wa DD au point 4.0 je chuo kitaniruhusu kwendelea na masomo mwaka uu
Axante