1. Penda unapopendwa, usipopendwa stress zinatosha.
>> Mtu asiyekupenda atakupeleka anavyotaka na wewe utafuata kile anachokitaka Hata bila ya wewe kukipenda! kulazwa kwenye gari na mwenzi wako alale ndani hiyo ni dharau kubwa sana na kilikuwa ni kipimo tosha kuwa huhitajiki & anakutumia kwa malengo fulani.
2. Shujaa amepotea kwenye vita ya mapenzi.
>> Kile ulichokuwa unakisimamia na kukiamini kutokana na upofu wa kupenda waweza jikuta unaangukia pua na kusahau yale yote ya muhimu kwa wakati huo. (mapenzi yapo, na yataendelea kuwepo, ila meli ya mabadiliko ikitoa nanga ndo basi tena)
3. Kilichomkuta kilishawakuta kina Samson & Dellilah pia Adam & Eve.
>>ndg yetu kapotezwa kama walivyopotezwa wale wengine.
(ngoswe Penzi, Kitovu Cha Uzembe)