Kuelekea tarehe 3 October...

Anselm

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
1,710
Reaction score
291
Wahenga walisema mtu akishaumwa na nyoka akiona unyasi tu anashtuka,ndicho kilichotokea kwa beki mahiri wa kushoto wa Club bingwa ya Tanzania Bara Simba S.C na team ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Amir Maftah,huku akiwa na kumbukumbu ya kashfa aliyopewa na hatimaye kuachwa baada ya kucheza rafu ya kijinga iliyoidhoofisha team aliyokuwa anaichezea kipindi kile Yanga katika mchezo dhidi ya Simba na kusababisha Simba kushinda mechi hiyo na huku akiwa ameusoma vizuri moto wa Dogo Msuva,juzi aliamua ile wanayosemaga heri ya lawama kuliko fedheha baada ya kuamua kujiondoa katika mchezo wa tarehe 3 kwa kucheza rafu ya kijinga katika mchezo kati ya Simba na Prison ya Mbeya iliyopelekea azawadiwe card nyekundu inayomfanya aukose mchezo wa tarehe 3 October na hivyo kukwepa fedheha ambayo angeipata kwa kukabana na Chipukizi aliye katika kiwango cha juu kabisa wa Mabingwa wa kusakata kabumbu Africa Mashariki na kati pamoja na kule kwa nchi waalikwa Dar Young Africans almaaruf kama Yanga Dogo Simon Msuva.
Nampongeza Maftah kwa kusoma alama za nyakati mapema
 
una akili wewee! hebu agiza ndovu ya moto kwa bili yako, mi nakuja, kwa sasa ndo namalizia bia hapa makirikiri bar!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…