...kuelekea 2015 - Nape kutimuliwa CCM

hilo neneo lenye rangi nyekundu linapotumika lazma mbele yake lifatiwe na jina la mtenda (aliyemtaja).linapokosekana jina hilo.stori automaticaly ina kuwa ni fitna na hivyo kuwa feki.
 
Nape ccm alikuwa hatakiwi siku nyingi na mafisadi. yuko ccm kwa nguvu ya JK tuu.
 
Sasa Nape ndo atamjua maumvi ni nani katika chama, kamkosea adabu sana kwenye kujivua gamba..!
 
Atimke, wamtimue, wamwache, watajua wao!
hayo ndio majibu muafaka,wasitupindishe mawazo yetu,tunachojua sisi ni kuitoa tu ccm madarakani,mwendo wetu sasa hivi sio wa polepole
 
Kashaanza kusoma maandishi ukutani! Na sintomsamehe kamwe, alivyomkosea nidhamu Dr. Slaa.

Kumbe upo kama mimi nina jazba nae sana siku nikikutana nae njiani naweza kumkabidhi vibao kadhaa, hana adabu hata moja!
 
Yaani CCM wasiwatimua Nape na Lameck a.K.a NGULU watakuwa wamedhamiria kikiua kabisa Chama
 
Ccm ni kisima cha busara.hekima na ukomavu.kutimuana ni sehemu ya ukosefu wa sifa hizo ambazo ziko chadema
 

CCM sio kichwa cha mwendawazimu kama ilivyo CDM ma bwana zenu wanaamka tu asubuhi baada yakushauriwa na familia zao then kufukuza wanachama!
JF sio sehemu ya udaku
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…