kapongoliso
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,356
- 493
Amuulize mzee mashishanga
aliyekuwa mkuu wa mkoa wa morogoro kilichompata kisiasa. Tatizo la nape
hafanyi critical analysis, ana amini kabisa mtu fulani hawezi kushika
rungu kesho likamgeukia. Nakubaliana na mleta uzi, mwisho wa nape
kisiasa si mzuri labda afikirie kuhama ccm, otherwise atakuwa
kituko!
Kashaanza kusoma maandishi ukutani! Na sintomsamehe kamwe, alivyomkosea nidhamu Dr. Slaa.
Toka nizaliwe sijawahi kuona CCM wamemtimua mtu!
pale hawatimuliwi lakini habari kamili anayo Kolimba.
Anazidi kunenepa na kunenepeana, akili zinatoka/zinahama kichwani na kuhamia kwenye masaburi yaliyonenepeshwa...[/QU
kimtokacho mtu ndo kimuingiacho, nachelea kusema mkuu wangu unapenda mambo hayo ya kutumia haramu.
Na Mbowe mtoto wa nani ?
itabidi ajiunge pamoja na masalia kuimarisha CHAUMMA. hivi qualifications zake ni nini?, sina hakika kama hata umachinga anauweza
Toka nizaliwe sijawahi kuona CCM wamemtimua mtu!
Amuulize mzee mashishanga aliyekuwa mkuu wa mkoa wa morogoro kilichompata kisiasa. Tatizo la nape hafanyi critical analysis, ana amini kabisa mtu fulani hawezi kushika rungu kesho likamgeukia. Nakubaliana na mleta uzi, mwisho wa nape kisiasa si mzuri labda afikirie kuhama ccm, otherwise atakuwa kituko!
Inaelekea hampati usingizi mkisikia jina la Nape nyinyi wadogo Zake Lema.
nani wadogo zake lema?Inaelekea hampati usingizi mkisikia jina la Nape nyinyi wadogo Zake Lema.