Jumanne Mwita JF-Expert Member Joined Nov 18, 2014 Posts 563 Reaction score 1,567 Apr 24, 2020 #1 Raha ya kudate na Mwanamke Mnene ni kwamba hata ukitongoza PISI nyingine ikikuta Picha zake kwenye simu ikakuuliza huyu nani..!? Unajibu ni Dada yangu Mtoto wa Mamkubwa wangu wa Mwanza [emoji1787] Sent using Jamii Forums mobile app
Raha ya kudate na Mwanamke Mnene ni kwamba hata ukitongoza PISI nyingine ikikuta Picha zake kwenye simu ikakuuliza huyu nani..!? Unajibu ni Dada yangu Mtoto wa Mamkubwa wangu wa Mwanza [emoji1787] Sent using Jamii Forums mobile app
Goddess JF-Expert Member Joined Jan 3, 2014 Posts 7,397 Reaction score 25,845 Apr 24, 2020 #2 Halafu ukijibu hvyo pisi nene inafanyeje
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 22,581 Reaction score 43,631 Apr 24, 2020 #3 Daah..korona iishe shule zifunguliwe..hawa watoto warudi bording wakasome.. #MaendeleoHayanaChama. Sent using Jamii Forums mobile app
Daah..korona iishe shule zifunguliwe..hawa watoto warudi bording wakasome.. #MaendeleoHayanaChama. Sent using Jamii Forums mobile app