Unarithushwa uganga wa kutoa majini ndugu yangu.Habar Wana jamii forum.
Mimi nilipewa selfu kubwa na Babu yangu KABLA hajafa 2017. Pindi ananipa hiyo selfu alinipa bahasha tu kuwa ukifika mwaka 2024 January moja nifungue hiyo bahasha. Nilipo fika tar 2 mwezi huu nikafungua Ile barua. Nikakuta imeandikwa ivi!
Chukua jembe na koleo
Nenda kwenye mti wa mtoma uliopo karibu na mpera pima mita tatu kutoka kwenye mtoma kuelekea kwenye mfenesi. Kuna jiwe kubwa liondoe na uchimbe futi tano kwenda chini utakachokikuta ndio urithi wako!
Tafadhali usimwambie mwanaukoo yeyeote yule mpaka unakufa!
Tar tatu nilienda kijijini kwetu nikachimba bila mtu yoyote kujua nikakuta selfu za zamani za kikoloni. Nikatafuta fuso na watu 23 wakainyanyua nikaipeleka sehemu ya Siri nikaificha.
Sasa hiyo sefu Inakadriwa kuwa uzito wa Tani moja inaonekana Ni ya wakoloni na Haina funguo! So naitaji mtu anayefahamu kuchonga funguo za sefu.
Kama unamfahamu naomba namba zake
Weka namba zake
Una uhakika gani mkuu!!?
Anamaanisha kile kijitabu Cha siri Cha falaki!nasikia ni siri Sana kuwa nacho!!Hapana. Majini aweke kwenye sefu
Haujapata wataalam, upele haujapata mkunaji tafuta weldersHaiwezi kukubali militia gesi ikagoma Ni chuma mtupu
Kuna watu watapigwa humuHabar Wana jamii forum.
Mimi nilipewa selfu kubwa na Babu yangu KABLA hajafa 2017. Pindi ananipa hiyo selfu alinipa bahasha tu kuwa ukifika mwaka 2024 January moja nifungue hiyo bahasha. Nilipo fika tar 2 mwezi huu nikafungua Ile barua. Nikakuta imeandikwa ivi!
Chukua jembe na koleo
Nenda kwenye mti wa mtoma uliopo karibu na mpera pima mita tatu kutoka kwenye mtoma kuelekea kwenye mfenesi. Kuna jiwe kubwa liondoe na uchimbe futi tano kwenda chini utakachokikuta ndio urithi wako!
Tafadhali usimwambie mwanaukoo yeyeote yule mpaka unakufa!
Tar tatu nilienda kijijini kwetu nikachimba bila mtu yoyote kujua nikakuta selfu za zamani za kikoloni. Nikatafuta fuso na watu 23 wakainyanyua nikaipeleka sehemu ya Siri nikaificha.
Sasa hiyo sefu Inakadriwa kuwa uzito wa Tani moja inaonekana Ni ya wakoloni na Haina funguo! So naitaji mtu anayefahamu kuchonga funguo za sefu.
Kwa nilivyofuatilia historian ya Babu kuwa zamani alikuwa anafanya kazi kwenye machimbo mwadui shinyanga
Kama unamfahamu naomba namba zake
Weka namba zake
Kwanza hukuelewaHakuna kitu hapo, binadamu tumeumbwa na shauku(curiousity) sana, hakuna mtu anaweza kukaa na barua miaka 7 bila kuifungua eti kisa umeambiwa usifungue mpaka 2024
Yaani hapo hata mwezi tu usingetoboa lazima tu ungekua ushaisoma... Hii ni chai au anatafutwa mtu apigwe na kitu kizito....
Eti nimeficha, yaani mnashirikiana watu 24 kuficha kitu???
Shenzi
Heavy duty grinder inapasua kilaini kabisa, japo waweza tumia wiki mbili.Haiwezi kukubali militia gesi ikagoma Ni chuma mtupu