teac kapex JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 470 Reaction score 137 Mar 25, 2019 #1 Wadau naomba mwenye ujuzi wa kuchakachua modem ya voda ili isome line zote aweke hapa mautundu
thesym JF-Expert Member Joined Aug 15, 2012 Posts 3,864 Reaction score 4,847 Mar 25, 2019 #2 teac kapex said: Wadau naomba mwenye ujuzi wa kuchakachua modem ya voda ili isome line zote aweke hapa mautundu Click to expand... Maelezo hayajajitolesheleza kwa sababu si watu wote wanatumia na kujijua modem ya voda. Kwa hiyo ungetaja kampuni iliyotengeneza modem (huawei, zte etc) na model number. Kwa ukitaja hayo inakuwa inasaidia kufahamu tools zinazoweza tumika ku-unlock.
teac kapex said: Wadau naomba mwenye ujuzi wa kuchakachua modem ya voda ili isome line zote aweke hapa mautundu Click to expand... Maelezo hayajajitolesheleza kwa sababu si watu wote wanatumia na kujijua modem ya voda. Kwa hiyo ungetaja kampuni iliyotengeneza modem (huawei, zte etc) na model number. Kwa ukitaja hayo inakuwa inasaidia kufahamu tools zinazoweza tumika ku-unlock.
teac kapex JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 470 Reaction score 137 Mar 26, 2019 Thread starter #3 Aina yenywe ni hii Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
thesym JF-Expert Member Joined Aug 15, 2012 Posts 3,864 Reaction score 4,847 Mar 26, 2019 #4 teac kapex said: Aina yenywe ni hiiView attachment 1054172 Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk Click to expand... Hiyo modem ni ZTE K3772-Z unaweza ku-unlock kwa kutumia dc unlocker, baadae nitakuwekea crack yake au unaweza tafuta mwenyewe. Hapa kuna hatua za kufuata za kufanya modem ikibali lines zote. ZTE K3772-Z detect and unlock procedure Pia tafuta humu JF ilishawahi elezewa miaka hiyo. Mkuu unatumia modem ya zamani.
teac kapex said: Aina yenywe ni hiiView attachment 1054172 Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk Click to expand... Hiyo modem ni ZTE K3772-Z unaweza ku-unlock kwa kutumia dc unlocker, baadae nitakuwekea crack yake au unaweza tafuta mwenyewe. Hapa kuna hatua za kufuata za kufanya modem ikibali lines zote. ZTE K3772-Z detect and unlock procedure Pia tafuta humu JF ilishawahi elezewa miaka hiyo. Mkuu unatumia modem ya zamani.
teac kapex JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 470 Reaction score 137 Mar 26, 2019 Thread starter #5 Kwani kwa sasa ni modem gani nzuri iliyo na speed na isiyochagua line? Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
Kwani kwa sasa ni modem gani nzuri iliyo na speed na isiyochagua line? Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,597 Reaction score 60,823 Mar 26, 2019 #6 teac kapex said: Kwani kwa sasa ni modem gani nzuri iliyo na speed na isiyochagua line? Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk Click to expand... speed ni ISP wako, siyo modem mkuu
teac kapex said: Kwani kwa sasa ni modem gani nzuri iliyo na speed na isiyochagua line? Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk Click to expand... speed ni ISP wako, siyo modem mkuu
de98 JF-Expert Member Joined Aug 13, 2017 Posts 737 Reaction score 760 Mar 26, 2019 #7 njoo inbox m nakusaidia bure kabisa sihitaji feza yako ni secunde chache tu iyo inafunguka!