Kubenea: Lowassa kiboko

wasiojua siasa watamshangaa Saeed Kubenea. siasa kwa wanaojua siasa ni mipango kwa wasiojua siasa wataona mizungu mingi!!!

Akiliccm ni kufikiria kumuandika EL huku wakitusahaulisha matatizo tuliyonayo na yatakayokuja baadae bila kutupa ufumbuzi... tunacheka na kushangilia. Tunafanya shangwe kwa wanaotupa misiba.
 
Hahaha ha ha ha Mwaka huu tutaona mengi sana, nyie ndio kila siku mlikuwa mnatuaminisha kuwa hili ni gazeti la kufungia vitumbua Leo mnalitumia kama case study, ajabu sana!!!

 

unapoteza muda jamaa yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…