Kubenea ahoji: Je, Kafulila huyu wa UDART leo ndio yule yule wa IPTL na Escrow? Yeye (Kafulila) amchana kwa hoja nzito Saba

Kubenear na mr 2mbili wana tofauti gani?
Swali zuri sana.

Natamani pangejitokeza mtu akalijibu kwa kina swali hili.

'Background' ya Kafulila kielimu siijui, lakini natambua uwezo wake wa kujieleza vizuri. Kubenea, bila shaka ni mtu wa kisomo cha magazeti; kwa hiyo anao uwezo wa kupiga soga nyingi na kutunga tungo, basi. Zaidi ya hapo, hawa wawili sijui tofauti kati yao ni zipi.
 
mabasi 177 yatakayonunuliwa na kampuni hiyo ya ENG.
******
Huyu aje maramoja
 
Mkuu hoja zako ni nzuri Ila nikama unachuki na hawa wawili
La hasha, sina chuki na yeyote hapa.
Unaposema hawa wawili, una maana ya "mwalimu na mwanafunzi wake", au nani hao wawili? Nitakuwaje na chuki na watu nisiowajuwa?
 
Kafulila huyu huyu alimnyang’anya mwekezaji umiliki wa Soko la madini kisheria na kulikabidhi kwa halmashauri ya mji wa Bariadi nendeni mkawaulize.

Na. hiki ndio kilikungo'a uRC
J'PILI NJEMA
 
Hakika Mama amelifungua Taifa kazi yetu ni kuchagua fursa tunazozitaka na kuziweza.

Wapi limefunguka?
 
Kwanza, Kafulila nakupongeza kwa kutoka nje na kujibu hoja za Mwandishi,
Pili, Natamani na Viongozi wengine wa Serikali wangekuwa wanajitokeza na kufafanua mambo mbalimbali katika idara zao,
Naamini kupitia Majibu haya ya Kafulila Serikali imeeleweka vema

Alamsiki
 
Wote ni watu wanachukia Rushwa na Ufisadi,
 
Simiyu tutamkumbuka sana huyu RC, Pamba leo ni bure kabisa.
 
Natamani mawaziri pia wangeiga hii kitu
 
Kama nchi ingehitaji vijana kwaajili ya Uongozi wa juu hapo kesho hawa akina Kafulila walitakiwa kuandaliwa kushika nafasi hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…