Kubenea ahoji: Je, Kafulila huyu wa UDART leo ndio yule yule wa IPTL na Escrow? Yeye (Kafulila) amchana kwa hoja nzito Saba

Huyu Bwana ni hazina ya Taifa hapo kesho tumwombeeni tu.
 
Mikataba yote ya Ubia duniani – mali au aseti zote zinamilikiwa na Serikali husika Kabla, wakati na hata baada ya mkataba vile vile Mikataba ya Ubia haihamishi umiliki wa mali.


Kwako Bwana Kubenea
 
2030 namshauri achukue fomu ya Mungu, Watanzania wanataka mpinga ufisadi na wizi tu
 
Kafulila agombee Ubunge arudi Bungeni tupate Raha za Bunge
 
LEO PAMBA NI TSH800 NAONA KAMA KAFULILA ANAKAUKWELI

Ni Kafulila yule yule ambaye akiwa mkuu wa mkoa wa Simiyu, mkoa ambao asilimia 70 ya Pamba ya Tanzania inatoka huko ni yeye aliyeza kudhibiti vyama vya ushirika na mfumo mzima wa ununuzi wa pamba, ambayo iliwafanya wakulima kuuza pamba yao bila kukopwa na hata kuuzwa wanakotaka na Udhibiti huu ulisaidia pamba kuuzwa kati ya Sh. 1,800 kwa kilo hadi Sh. 2,200. Bei hizu hazijawahi kutokea tangu uhuru wa nchi yetu.
 
Wewe ndiye hujui kabisa. Kama wajua kwa nini usiiweke hiyo maana ya ubia hapa? Nahisi umepondwa na kitu kizito kisogoni.
Definition ya Kafulila kuhusu ubia ipo very clear. Labda wewe unawaza ubinafisishaji.
Acha uchovu weye
 
Kafulila ni kijana MúunGwana sana
 
Asilimia 43 ya wakazi wa Dar es Salaam wanafanya kazi maeneo ambayo wanatembea kwa mguu kwa sababu ya changamoto ya nauli.

Hii sidhani kama ni kweli
 
Asilimia 99.99999% ya wanasiasa bongo hii ni wachumia tumbo, ni majizi yanayopambania nafasi za kula.
Usiamini kelele zao.
 
Kwa faida ya wote ungeileta hapa jukwaani, samahani kama nimeingilia mambo yako
Alivyo andika, ni kielelezo sahihi kabisa cha wasomi wetu hapa nchini.
Yeye anataka watu waelewe anajuwa anachokizungumzia, lakini hawezi kukieleza kwa wengine.
 
Asilimia 99.99999% ya wanasiasa bongo hii ni wachumia tumbo, ni majizi yanayopambania nafasi za kula.
Usiamini kelele zao.
Mwalimu wangu aliwahi kunifundisha kuwa duniani Kila mtu ni mwizi ndio maana tukaweka controls
Alivyo andika, ni kielelezo sahihi kabisa cha wasomi wetu hapa nchini.
Yeye anataka watu waelewe anajuwa anachokizungumzia, lakini hawezi kukieleza kwa wengine.
 
Alivyo andika, ni kielelezo sahihi kabisa cha wasomi wetu hapa nchini.
Yeye anataka watu waelewe anajuwa anachokizungumzia, lakini hawezi kukieleza kwa wengine.
Kwaakili yako Kafulila anaongea asichokijua?

Tanzania hii ukitafuta vijana wawili wenye uzalendo na Uadilifu huwezi acha kumtaja Kafulila
 
Hakika Mama amelifungua Taifa kazi yetu ni kuchagua fursa tunazozitaka na kuziweza.
Mstari huu ni wa kijinga sana. Ni ishara ya uchawa unaoondoa akili timamu vichwani mwa watu hata wanaojionyesha kuwa na vichwa timamu kama huyu.
Huyo mama jukumu lake siyo kufungua Taifa. Kazi yake kubwa ni kuhakikisha inapofanyika hivyo, wananchi wawe tayari kuzitumia fursa hizo. Ni jukumu lake kuweka mazingira, na kuwapa waTanzania fursa hizo kabla ya mtu mwingine yeyote. Ni kazi ya huyo mama kuhakikisha kuna uwezo wa kulinda maslahi ya nchi kwanza wakati hao anaowafungulia nchi wanapokuja hapa ufunguzi huo uwe wa manufaa kwa nchi.

Kafulila anao uwezo wa kujieleza, lakini kama walivyo wengi, hana msimamo thabiti mbali ya kutumia uwezo wake huo kujitafutia maslahi binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…