Kubadilishana simu..nakupa tecno phantom a plus (a+) na tsh elfu 50

Kubadilishana simu..nakupa tecno phantom a plus (a+) na tsh elfu 50

Taylor Gang Jr

Senior Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
131
Reaction score
7
Habari wakuu...
Nilikuwa nahitaji mtu ambaye nitaweza kubadilishana nae simu..
#mm natumia Tecno Phantom A plus (A+) bado mpyaaa,nakupa na tsh 50,000 ( Elf 50)
*android version 4.2.1 jelly beam
*Ram 1Gb
*Processor 1.2Ghz
*Camera 8 Mp with LED and front camera
*internal 4Gb..expandable with SD card up to 32 Gb
##wewe unanipa simu gani?? #ni PM tuzungumze
 
Attachments

  • TecnoPhantomA+6_powerbank.jpg
    TecnoPhantomA+6_powerbank.jpg
    24.7 KB · Views: 233
  • IMG_20130919_080913.jpg
    IMG_20130919_080913.jpg
    532.3 KB · Views: 229
  • f7.jpg
    f7.jpg
    14.1 KB · Views: 194
Sasa kama wewe mwenyewe haujui thamani ya simu ambayo inaendana na huo mbadilishano, watu si watataka kukupa simu isiyoendana?
 
Nakupa blackberry 8980 mpya na kila kitu chake kama ilivyokuja
 
Habari wakuu...
Nilikuwa nahitaji mtu ambaye nitaweza kubadilishana nae simu..
#mm natumia Tecno Phantom A plus (A+) bado mpyaaa,nakupa na tsh 50,000 ( Elf 50)
*android version 4.2.1 jelly beam
*Ram 1Gb
*Processor 1.2Ghz
*Camera 8 Mp with LED and front camera
*internal 4Gb..expandable with SD card up to 32 Gb
##wewe unanipa simu gani?? #ni PM tuzungumze

Ninependezwa na maelezo yako big up!

Pia ungeweka na namba za simu yako kuongeza njia za biashara yako hii!
 
Mi nakupa tecno M7 bila hiyo 50000 yako.
Bado mpya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom