Normal driving condition , ni ule uendeshaji wa kawaida kabisa wa mtu wa kawaida, gari ikiwa inabeba mzigo na abiria kwa idadi na uzito uliokadiriwa kutoka kwa mtengenezaji ukifanya racing, ambulance, towing, very long trips n.k unakuwa unafanya kitu ambacho kinavuka matumizi ya kawaida, na pengine mtengenezaji hajakadiria impact yake.
Kama gari yako imeandikwa hivyo kwenye dipstick na matumizi yako ni ya kawaida sishauri kubafilisha hiyo Atf.