Muone mwanasheria wa conveyancing. Sheria husika na land act cap 113 na land forms zake. kuptia fomu hizo na chini ya sheria husika, mwanasheria huo ataandika application kwenda kwa commissioner for land for his consideration and approval.
Hata hivyo kubadili matumizi ni subject to the general master plan ya eneo. Sidhani kama commissioner anaweza kurudhia la makazi ya watu aruhusu ujenge nightclub, au jirani eneo la shule, au nyumba za ibada, ukajenge night club!