Sor..
mimi pia ni mtu ambaye nasubilia kufanyiwa recategorization..
kwaa maana kutoka kada ya ukufunzi kwenda Procurement..
kwa maana mara ya kwanza nilikuwa nikifundisha hayo masomo..
ila baada ya kuhamia kwa mwajir X, nimeambiwa nisubili mwaka wa fedha nitengewe budget ya kubadilishiwa kada..
so kimsing ni mwajir ndiye anayekubadilishia kada baada ya kutenga budget