3sge ni moja ya Engine ya wastani yenye Ufanisi mzuri mno!
Ninayo Rav4.. Nimefunga 3sge nikatia Ecu nzuri..mpya! Mafuta inanusa..
Kama unabadir Engine usiweke injini za ajabu maana rav4 ni gari ambayo ni very useful ktk offroad.. Yaani 3s inafaa ktk rav4 ukibadir hyo iliopo weka same type.
Mwanzo Engne yangu ilikufa Nozzel.. Ikaw inakunywa.. Nikabdir ila wapi.. Nikavua Jiko.. Nikavesha jingine saiv napeta tu.. Kama ist vile.