guyz anae weza kunisaidia
simu yangu motorola mb853 , nilikua nina weka firmare upya kwa kuwa iliokuepo ilikua ikigoma kuenda katika recovery, so nilipokua naweka upya iliishai 99% na ikafail, so now haiwez fanya kazi na endapo ikiwaka bas inasema failed boot 1 mwenye idea yeyote plz help me out...nimejaribu ku search for tht issue it seems kuna way ya kusolv but nikijaribu still inafail.. any help plz
kwanza angalia kama hio simu ni ya carrier yoyote yule then hakikisha aina ya simu exactly, ifungue cover la nyuma kama ina battery itoe ukipata aina ya simu halafu google firmware yake ndio uinstall.
maelezo ya juu uliyotoa hayatoshelZi hio firmware ulieka na nini,