tahan96 Member Joined Apr 29, 2014 Posts 86 Reaction score 105 Sep 6, 2022 #1 Kwa wakazi wa Arusha wapi naweza kubadili fedha za kigeni za Israel, ma benki ni changamoto.
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 27,921 Reaction score 39,107 Sep 6, 2022 #2 tahan96 said: Kwa wakazi wa Arusha wapi naweza kubadili fedha za kigeni za Israel, ma benki ni changamoto. Click to expand... Takbiiir
tahan96 said: Kwa wakazi wa Arusha wapi naweza kubadili fedha za kigeni za Israel, ma benki ni changamoto. Click to expand... Takbiiir
adden JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 7,033 Reaction score 15,699 Sep 6, 2022 #3 tahan96 said: Kwa wakazi wa Arusha wapi naweza kubadili fedha za kigeni za Israel, ma benki ni changamoto. Click to expand... wao wenyewe wanatumia dola.hela yao hawatoi holela.. izo lbd utafute kampuni za utalii za arusha ambazo wanafanya kaz na israel lbd wanaweza kukusaidia.
tahan96 said: Kwa wakazi wa Arusha wapi naweza kubadili fedha za kigeni za Israel, ma benki ni changamoto. Click to expand... wao wenyewe wanatumia dola.hela yao hawatoi holela.. izo lbd utafute kampuni za utalii za arusha ambazo wanafanya kaz na israel lbd wanaweza kukusaidia.
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 15,202 Reaction score 25,378 Sep 6, 2022 #4 Hizo pesa nunua wallet mpya zitie humo kisha mpe mwanao atanulie au mtunzie akiwa mkubwa alingishie wenzie!. Nilikuwa UGX kubadilisha ilichukua wiki mbili yaani!.
Hizo pesa nunua wallet mpya zitie humo kisha mpe mwanao atanulie au mtunzie akiwa mkubwa alingishie wenzie!. Nilikuwa UGX kubadilisha ilichukua wiki mbili yaani!.