Wakuu tangu tarehe 23 wale tunaoendelea kuomba mkopo kwa mwaka ujao inahitaj paswd.sasa hyo paswd ndo ngoma nzito.katika recovery ya paswd ndo usiseme.ambaye ameweza atwambie
Saivi system imeadilika jamani hakuna haja ya kuupdate mkopo sababu matokeo yako yatatumwa moja kwa moja kwenye bodi ya mkopo hivyo unachotakiwa ni kuwajulisha bodi kama huhitaji kuendelea kupata mkopo
SOURCE HESLB criteria 2014/2015
yeah huku kwetu loan officer anatumia kila njia kuwajulisha wat kwamb kwa sasa hakuna ku update tena, bodi itaendlea kutoa mkop kwa wat wake kam kawaida. Kwa ambao hawataki ndo wanatakiwa kutoa taarifa.