Kwanza kabisa nakupa pongezi sana
kwa kitendo cha kuwa na wazo than unahitaji kuthubutu kulitimiza ,
hyo ni hatua nzuri sana
lakini katika hii issue yako tayari kuna post nyingi tu kuhusu hii biashara so,tafuta hzo utafaidika sana
NB : wewe ndie CEO wa Maisha yako so,ukizingua ni wewe na ukifaulu ni wewe ndie chanzo so, be care sana katika hilo