Google chrome
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 2,287
- 12,856
Bila collabo ina maana hawawezi pigana mpaka wasaidiwe hapo ndipo wananichanganya
Bila collaboration marekani hawezi kusimama hata na somaliaBila collabo ina maana hawawezi pigana mpaka wasaidiwe hapo ndipo wananichanganya
Bila collaboration marekani hawezi kusimama hata na somalia
Mbona Putin aliamuru Russia kuishambulia Georgia na wakati huo akiwa waziri mkuu. Mesdvedev alikuwa boya tu.Bado Rais ana sauti kuliko waziri mkuu.Protocols,kaka.
Black hawk down
Si rahisi kama unavyodhani.Dawa ya marekani inatakiwa Iran awachape kisawasawa nchi yeyote itakayosaidia marekani kurusha makombora yake yani ni kutandika ile yenyewe watatulia tu
Ila ni rahisi kama unavyodhania siyoSi rahisi kama unavyodhani.
Yan Rais alikua kama kivuli tu,kiongozi alikuwa putinWaziri mkuu hana nguvu kubwa kama ya Rais.Hata hapa bongo si mliona Majaliwa kaja na wanunuzi wa korosho.Rais akasema no.Russia pia Rais ana nguvu kikatiba kuliko waziri mkuu.Nilifuatilia kuvamiwa kwa Libya mwanzo mwisho.Nakuambia Putin angekuwa Rais kipindi kile lazima angeweka veto yake pale kwenye security council ya UN.
Wewe unaona Veto inafanya kaz kwa marekani? Iraq wakati mwanaume Bush anaingia China na Russia walifanyaje? Je marekan ilisimama? Yaan hata balozi wa Russia alieluwepo Baghadad alikua wa mwisho kuondoka, alilazimishwa kutoea Pakstan under American Escot and not to flyWaziri mkuu hana nguvu kubwa kama ya Rais.Hata hapa bongo si mliona Majaliwa kaja na wanunuzi wa korosho.Rais akasema no.Russia pia Rais ana nguvu kikatiba kuliko waziri mkuu.Nilifuatilia kuvamiwa kwa Libya mwanzo mwisho.Nakuambia Putin angekuwa Rais kipindi kile lazima angeweka veto yake pale kwenye security council ya UN.
Sawa mmarekani wa Nzega.Teh teh teh wale Pro Iran wanaodhani kikinuka Urusi atakuwa upande wao mje kusoma huu ujumbe hapa
... bro linapokuja suala la Israel hawa jamaa US, Russia, na hata Saudia (siku za karibuni) lao moja! Iran mwenyewe ameshashtukia anaingizwa chaka na Russia kuhusu Israel.Mbona Mrusi haeleweki, inamaana kumbe yeye ndo anamkingia kifua Isarel anapofanya ufedhuli wake dhidi ya Iran kule Syria!!? Russia ajibainishe yuko upande gani asiwe ndumila kuwila.
... at least wewe "umetoa ya moyoni" tofauti na wanafiq wengine humu wanaodhani Russia ni rafiki kwa Iran kuliko Israel! Huwa nikisoma comments zao humu nachekaga sana kwa upumbavu wao.Mimi kuna siku za nyuma nilimjibu jamaa humu Warusi huwa hawamsaidii mtu,
yule jamaa alisema Hazbullah alipigwa mpaa Mrusi akaingilia kwenye vita, nikamjibu Mrusi kaingia vita baada ya Hazbullah kuwamaliza wafuasi wa Israel na USA.
Kenda pale Syria kinafiki tu, hataki hata Syria kumkabidhi S-300 waicontrol wao.
Urusi c wa kuamini kabisa.
Myahudi wa Nzega ningeshangaa sana kama usingekuja kubwabwaja pumba hapa,... bro linapokuja suala la Israel hawa jamaa US, Russia, na hata Saudia (siku za karibuni) lao moja! Iran mwenyewe ameshashtukia anaingizwa chaka na Russia kuhusu Israel.
Sio kweli bwana. Alikuwa strong kwenye mamalaka yake kikatiba lkn hakuwa na powers kwenye mamlaka ya raisUwaziri mkuu wa putini ni watofauti kwanza alijitanguliza madaraka kabla ajajipa cheo hicho kwahiyo alikuwa na nguvu zote
Lete ushahidi kuwa putin ndiye aliyeamuru? Hv ww unazania kuiingiza nchi vitani ni jambo rahisi namna hiyo?Mbona Putin aliamuru Russia kuishambulia Georgia na wakati huo akiwa waziri mkuu. Mesdvedev alikuwa boya tu.
Ila ni rahisi kama unavyodhania siyo