wachache sana hao,labda mwanaume ziwe hazijakutembelea,kama una ukwasi wa kutosha haachwi mtu!wanawake wa siku hizi sio ving'ang'anizi! unaweza kukuta nae anakupigia hesabu ya kukuacha,ukimuambia anaitikia haraka haraka,lmao!

Aisee ni ngumu sana ila namna nzuri ni kupunguza mawasiliano mwisho wa siku unayakata kabisa.
Ila vidumu muhimu unaweza ukashitukizwa jamaa eti
ooohhh nimekuchoka, mara kimepanda kikashuka huna pa
kuanzia hiyo haipo akileta za kuachana nakwenda kwa kidumu
changu tena kwa raha zangu bila kubanwa banwa mjini mapenzi yako siku hizi bana??
Usanii umejaa sana town
Hiyo itakuwa sawa na kumpigia mbuzi gitaa,hawaelewagi hao,wanachojua wao ni full malawama hata wakosaji ni wao,wanaume tunavumilia mengi aisee na Mungu ametuumba na roho ngumu.Tulitumiana bana kwani starehe nilikuwa nakula peke yangu
si tulikuwa tunazeeshana wote
na sometime kuna siku nilikuw asina mood yeye analazimisha kwa ajili ya kujipenda yeye
Hiyo itakuwa sawa na kumpigia mbuzi gitaa,hawaelewagi hao,wanachojua wao ni full malawama hata wakosaji ni wao,wanaume tunavumilia mengi aisee na Mungu ametuumba na roho ngumu.
Bebii!!!!!!!! acha hizo bana unawatisha vijana mwisho wataogopa kuoa kwa sababu watajua watapigiwa tu.
jamani mnawatisha vijana wetu ambao hawajaoa,watajua oho kumbe nikioa mke wangu atalambwa! sisi vijana wa zamani we have seen everything, we have done everything.Ila vidumu muhimu unaweza ukashitukizwa jamaa eti
ooohhh nimekuchoka, mara kimepanda kikashuka huna pa
kuanzia hiyo haipo akileta za kuachana nakwenda kwa kidumu
changu tena kwa raha zangu bila kubanwa banwa mjini mapenzi yako siku hizi bana??
Usanii umejaa sana town
baada ya kusema maneno hayo alikuponyesha? au ulitoka na ngeu?

Husninyo kuna wengine somo kupenda kichwani ni ngumu mpaka aelewe kisa cha kukosa mawasiliano ni kuachwa hapo ni pagumu
mtaani wanasema 'wa kwako ni wa kwako akiwa ndani,akitoka ni wa wote'.

we acha tu. Halafu hii thread inanigusa sana. Ngoja nisiendelee kuongea.
It is a very long story my friend nisingependa kuyaanika humu but angekuwa na uwezo wa kunishut nadhani angeshafanya hivyo kwani it is more than 2 years but hataki kuelewa kitu na mimi sitaki kuelewa kitu and for sure i will neve ever......mengine tuyaache!!