Mazee unaambiwa pesa sabuni ya roho,ukipoteza kazi na mwenza wako aanze kukutunza basi utaipata fresh,maana kufa hutakufa lakini cha moto utakiona,haswa kashfa za 'mwanaume gani? 'mwanaume mwenyewe namlisha mimi 'etcukitaka kujua unapendwa sana au ni huduma ndo zinapendwa
mwambie umefukuzwa kazi.uone....lol
Mazee unaambiwa pesa sabuni ya roho,ukipoteza kazi na mwenza wako aanze kukutunza basi utaipata fresh,maana kufa hutakufa lakini cha moto utakiona,haswa kashfa za 'mwanaume gani? 'mwanaume mwenyewe namlisha mimi 'etc
Tb unajua ile kuzunguka kama unaenda kimara unaanzia posta unaenda mwenge then mwenge ubungo then ubungo kimara ndo zetu
inabidi hapo nijifunze namna ya kutengeneza statement
<br />Hakika kati ya mambo magumu yanayoweza kumkabili mwanaume ni kumwambia mkewe/gf/hawara kuwa 'its over'. Pamoja na kwamba kichwani mwako mwanaume unaweza kukata shauri kuwa huyu mwanamke hanifai kimbembe huwa kinakuja kwenye kumtamkia na ugumu unaongezeka kama unaishi naye. Wengine siku hizi wana text,wengine wanaandika e mail,wengine wanamtuma mtu awasemehe,all in all ni jambo gumu sana maana uongo binadamu tumeumbwa na uso wa haya.<br />
Kwa wanaume: Kama ushawahi kujikuta katika situation hii ulifanye kumjulisha mwenzio kuwa mahusiano yenu yamefikia tamati?<br />
kwa kinamama: Kama haya maswahibu yashawahi kukuta jamaa alikujulisha kwa staili ipi,and how was your reaction?<br />
Nawasilisha
atavuta uso huyo na kisha atakwambia 'sasa?'.
Ni hapo sasa atakapokuparua na mbwa mwitu/mbweha wakisikia tu harufu ya damu hao!Mkuu nimekupata
Ila kwa huku kwetu kuna sehem zina viwanja unaweza kwenda kukaa sehem ukafikiri hakuna binadam wengine zaidi ya mhudumu ambaye anakuja periodic kuangalia kama kuna huduma
Nenda porini kama tarangire au manyara huko au ngorongoro uko alone huko na yeye tuu unamwambia
atavuta uso huyo na kisha atakwambia 'sasa?'.
Ni hapo sasa atakapokuparua na mbwa mwitu/mbweha wakisikia tu harufu ya damu hao!
wako wengine atakwambia 'Boss sikia,mi sijalishi kama una dem mwingine,yote kwa yote mi twendelee tu' kumbe shida yake matunzo tu.kuzunguka ndo yenyewe na uwongo pia ikibidi
wazungu wana neno lao hilo linaitwa....
its not you,its me........
yaani unajifanya wewe ndo mwenye matatizo na makosa,na sio yeye aliesababisha ufikie uamuzi huo...
kuzunguka ndo yenyewe na uwongo pia ikibidi
wazungu wana neno lao hilo linaitwa....
its not you,its me........
yaani unajifanya wewe ndo mwenye matatizo na makosa,na sio yeye aliesababisha ufikie uamuzi huo...
kisha baada ya siku tatu unasikia rafiki yako kipenzi anamparamia ex wako na RAV4 kampa! yaani we acha tu.yaani hapo patamu
Zile bata na starehe zote nacancel,
no hela ya salon
nyumba narudisha narudi kijijini,
na lile gari tunalotembelea nauza
hawaelewagi hawa wanawake,yaani hata uje na story za Abunwasi,ye atakwambia haachwi mtu hapa.Na kama ni kutunga story najifunza kabisa na kutoa visingizio kibao vilivyonifanya nifikie uamuzi kama huo
hata kama ni kuleta story za babu yangu aliyekufa zamani na mausia yake
mkuu mi nilijidai nimeokoka hvo nkamwambia akate mguu kwangu
kisha baada ya siku tatu unasikia rafiki yako kipenzi anamparamia ex wako na RAV4 kampa! yaani we acha tu.
hawaelewagi hawa wanawake,yaani hata uje na story za Abunwasi,ye atakwambia haachwi mtu hapa.