Kuanza Maisha ya Ndoa (Tafakari)

Mie nakushauri UJIPANGE zaidi kiakili kuliko kifedha..kwa sababu hata bila kuoa pesa utaitafuta tu!
Ninaposema ujipange kiakili namaanisha 'utayari wa kujenga familia'..manake ndoa sio kumiliki papuchi tu kuna majukumu pia!
Kwa hiyo cha msingi jiulize kama uko tayari kiakili and then look for someone ambaye naye atakuwa na mtazamo kama wako!..Tatizo unaweza ukawa mwenyewe umejipangilia vizuri bahati mbaya ukaangukia kwenye 'miiba'..beware of matching..itakusaidia! Mengine yanakujaga tu automatically na yatasoviwa pale yatakapokuja!!.....
 
Duh JF usipokuwa na akili za mbayuwayu!!!!!

Ila aisee kama haupo financially independent (I MEAN: Huishi kwa kutegemea mwisho wa mwezi a.k.a mshahara) subiri kwanza hata huyo mchumba atakuona wa maana!!!

Ila hili la kupata kazi limewadanganya vijana wengi hasa walioajiriwa private companies na kupewa mishahara mikubwa kiasi...wao straight kuoa tofauti na sie tuliojitolea kulitumikia taifa directly (serikalini) yani mpaka uje kufikiri kuoa....!!!
 
Duh!...lara1 acha ukali mama!


 

Kausha basi.. Khe yamekuwa hayo, we umesahau ndoa zetu tunaowana j mos tunaachana jumatatu?

2013 ndo mwaka wangu,, haijalishi nilambe joka au nilambe dume?

Tuliocheza god of war 3 tunasema the end begins
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…