josephat japhet
Member
- Aug 29, 2013
- 54
- 37
NendaHabari wadau, naomba kujua nifanyaje ili niweze ku-trace location ya namba ya simu iliyonipigia au ninayoipigia. Natakiwa kufanyaje au niwe na nini ili kufahamu mtu huyo yupo wapi. Nisaidieni wadau nimetapeliwa kwa simu aise
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kiongozi nimekuelewaMzee inabid uwe na vifaa/program maalum ambavyo vinauwezo wa kufanya hiyo kazi, na kumiliki vifaa ivyo lazima uwe na kibali toka serikali maana vinahusiana na usiri na usalama wa mawasiliano. Ukikutwa navyo hapo kazi unayo. Telecom Company taasi za ulinzi zinaweza kufanya hiyo kitu.
No One Ever Really Dies
Okey sawaNenda
Customer service,ongea na wale mabinti vizuri wakufanyie kazi hiyo
Sio rahisi ki hivyo mkuu!! Ndio maana lazima upitie polisi, na wao ndio wafanye kazi hiyo, kupitia kampuni ya simu, kupata taarifa za hiyo simu!! Kwani akifanya mfanyakazi wa customer care, ki magumashi, akaenda huko yakatokea majanga, labda ya kuuana, kuumizana lazima awajibike tu!! Mimi kuna ndugu yangu kabisa alinikatalia katu katu kufanya hiyo, nikapambana mwenyewe hadi nikamkamata mwizi wangu, kwakuwa kuna mlinzi wa kizungu(program) alikuwa ndani humo!!Nenda
Customer service,ongea na wale mabinti vizuri wakufanyie kazi hiyo
Sawa kiongozi nipo naelekea mawasiriano... Umeniambia niende ofisi ganiPesa inatafutwa. Kukosea ndo kujifunza. Hii kitu ina gharama na unaeza ukampata kumbe sio huyo au line ametupa.. Ukajikuta unatumia gharama kubwa kuliko ya uliyotapeliwa ila kwa msaada zaidi wapigie watu wa mitandao wakuelekeze au kama upo dar nenda TCRA pale simu 2000 wakupe mwongozo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio rahisi ki hivyo mkuu!! Ndio maana lazima upitie polisi, na wao ndio wafanye kazi hiyo, kupitia kampuni ya simu, kupata taarifa za hiyo simu!! Kwani akifanya mfanyakazi wa customer care, ki magumashi, akaenda huko yakatokea majanga, labda ya kuuana, kuumizana lazima awajibike tu!! Mimi kuna ndugu yangu kabisa alinikatalia katu katu kufanya hiyo, nikapambana mwenyewe hadi nikamkamata mwizi wangu, kwakuwa kuna mlinzi wa kizungu(program) alikuwa ndani humo!!