K's royal Health College

Willy mayor

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
346
Reaction score
44
Habari wakuu kwa yeyote aliepangiwa K'S ROYAL MBEYA MJINI hii ndo budget unayotakiwa uipange
>school fee Tsh.2,330,000/=
>hostel
-self container room Tsh.350,000/= per year
-non self container room Tsh.300,000/= per year
>foods Tsh.130,000/= per month
OTHERS
.stethoscope
.Bp machine
.patella hummer
.laptop
.school uniforms
and e.t.c.@600,000/=
TOTAL BUDGET
@Tsh.5,100,000/= for the first year but for the next year it will be Tsh.3,100,000/=
K'S ROYAL HEALTH COLLEGE
MBEYA CITY NEAR BY-
(TEKU) UNIVERSITY
Thanks:
 
Me wamenichagua huko ila nataka niingie serikalini kwa njia ya panya coz ada ni balaaa!!
 
hizo ada mtaweza kulipa kweli?

mkuu yan bora hata hiki cha K'S kuliko hicho walichokupangia wewe cha CITY COLLEGE kwanza tution fee yake ni Tsh.2,435,000/= alafu hapo hostel zake zipo nje ya shule na unatakiwa kulipia gharama ya hostel na chakula ni mfuko wako unaongea xo ni bora hata hk cha K'S ila maandalizi ya mwaka wa 1 sio chini ya milion 5+ yan utakimbia
 

Acha uongo city college ni 1600000 tuition fee per year. Accommodation ni laki 6
 
Acha uongo city college ni 1600000 tuition fee per year. Accommodation ni laki 6

hyo ni kwa mwaka wa pili ila mwaka wa kwanza huwa zaidi ya apo ukijumlisha na vimchango vidogo vidogo me wakati nafanya aplication ndo bei nilioiona ya tution fee wameandika ni 2,435,000 sasa iweje uniambie mi muongo nawakati ndo kilichoandikwa hapo ngoja achukue fomu ndo aone hali alisi na pia me chuo walichonipangia ni milioni 1na lak8 ila ukijumlishana na hivyo vimchango ni M2na lak 3 . Hapo bado hostel na food
 
Mbona ada kubwa ivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…