Kozi ya tally

Joined
Jun 13, 2016
Posts
10
Reaction score
4
Tally training ya:
1. Kucreate masters ya accounts na inventory
2. Kupost vouchers kama vile petty cash, invoice, payment n.k
3. Kuview na kuprint reports na kuexport hizo reports kwenye pdf, excel n.k

Iyo ni private training na qualified teacher wa accounts na tally mwenye uzoefu wa miaka 3 wa kufundisha tally
Mwisho wa iyo training lazima utakuwa unajua kutumia tally accounting software
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…